Ebu jiulize Leo, umeingia Facebook kwa mda gani?.. Asubuhi, mchana au jioni? Well, tafiti zinasema watu wengi hawana muda maalum, muda wowote akiwa free na simu yake, tayari ashaingia Facebook. Mfano rahisi tu, cheki kwenye daladala watu walioshika smartphone zao, huwezi kukosa ambao hawapo Facebook kwa muda huo. Au ingia Facebook ktk account yako, anytime lazima ukute watu wapo online, (jaribu hata sasa hivi !!) STORI ya hapo juu, ni funzo moja muhimu sana ambalo kama mfanyabiashara au mjasiriamali wa karne hii ya teknolojia lazima ulifahamu. Na funzo lenyewe ni kutambua ATTENTION ya wateja wako wa sasa, na wa baadae walipo...na si sehemu nyingine unayoweza kuwafikia kiurahisi kama kupitia mitandao ya kijamii, yaani Facebook, Instagram, WhatsApp, Snapchat, YouTube n.k Kupitia social media, unao uwezo wa kufanya biashara yako 24hrs, kuongeza mipaka ya sehemu biashara yako inapoweza kufika...na hivyo kuleta faida kubwa sana kwako kama ukiitumia ipasavyo. Kuna stori kibao j
Taking entreprneurship to another level