Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Jinsi ya kupika crips (mwanzo hadi mwisho)

MAHITAJI YA KUPIKA CRIPS ZA VIAZI
ü  Viazi
ü  Mafuta ya Kula
ü  Chumvi Au Pilipili ya Unga
ü  Mashine ya Kukatia
ü  Moto na Vyombo vya kupikia.






HATUA ZA UPISHI WA CRIPS ZA Viazi
  1. Kwanza menya Viazi vyako na Viweke Kwenye Maji ambapo vitaoshwa.
  2. Chukua Mashine yako ya Kukatia na Ioshe na Maji kwanza.
  3. Kata kwanza Viazi vyako ili viweze kuwa kama Vipande viitwavyo Crips.
  4. Weka Mafuta kwenye Moto na hakikisha moto wako unawaka vizuri.
  5. Hakikisha Wakati unakata Viazi vyako vidondokee kwenye maji ili visigandane.
  6. Hakikisha mafuta yanapata moto ndio uweke Crips zako humo. Subiria kaa muda wa Dakika 7 hadi 10 kisha Geuza na baada ya muda mchache crips zako zitakuwa zimesha iva.
  7. Ipua na uweke kwenye chujio la Kuchuja mafuta. Hakikisha mafuta yanachujwa na crips iwe kavu ili wakati unaweka kwenye vifuko isitengeneze Umafuta ndani yake itakera.
  8. Weka Kwenye Besen kisha weka chumvi kwa Mbali na upepete ili ichanganyike na iwe tayari kwa kuwekwa kwenye Vifuko. Hata Pilipili ya Unga pia tunaweka baada ya Crips kuyoka kwenye Kikaango baada ya kupoa.

Ili kujifunza vizuri zaidi na kuelewa, tazama video hii hapa kwa l


LINK : https://youtu.be/h9HOQs8IqRk

Usisahau kutoa maoni yako juu ya hili, na kushea makala hii iwafikie watu wengi zaidi.

Maoni

  1. Naomb ntumien namb ynu ktk my email

    JibuFuta
  2. tumejifunza ila wengine wanasema kabla ya kupikwa zinatakiwa zilowekwe kwa muda angalau nusu saa

    JibuFuta
  3. Kuna wengne wanasema ukishazikatakata na mashine inatakiwa uziweke kwenye ungo kwa nusu saa kabla ya kuweka kwenye mafuta

    JibuFuta
  4. Asante kwa information nzuri ,ntajaribu kupika

    JibuFuta
  5. Samahan hizi crisp zinakaa mda gani?kabla hazijaari ika

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

BIASHARA YA CRIPS, ANZA LEO KWA MTAJI WA 50,000.

BIASHARA YA CRIPS....PART 1 Biashara ya Crips ni Biashara unayoweza sema ni Ndogo kama utawekeza kwa Udogo lakini pia unaweza sema ni ya kati kama utawekeza kwa ukati wake. Hii ni biashara ambayo mtu anaweza kuwekeza kwa kua na sh 50,000. Ndio Mtaji wa Elfu Hamsini unatosha kabisa kumfanya mtu aianze Biashara hii. Mtu anaweza Sema Inakuaje Elfu hamsini Ikawa Mtaji, Ni Hivi Katika 50000. Toa 20000 ya Mashine, Kisha Toa 12000 Ya Debe Moja la Viazi kisha toa 10500 ya Lita 3 za Mafuta , Kisha toa 2000 Ya Mkaa na Utoe pesa Ya Vifuko ni Sh 1200 vya kufungia na Chumvi 300 na Pilipili ya unga 500. Wataalamu wa Hesabu, ukipiga haizidi elfu 50. Halafu watu wapo mtaani wanalalamika hawana Mitaji,wanaishia kubeti, mara biko, tatu mzuka.. Kumbe mitaji yao wanachangia kwenye Harusi na Sendoff.  Embu jiulize umeua Mitaji mingapi kwa kuchangia Harusi na Sendoff, kubeti, kucheza biko/tatu mzuka au kununulia nguo ya Sherehe alafu kesho yake unapiga mihayo na kusema Vyuma Vimekaz...

Mifano halisi: Masoko ya bidhaa zako za ujasiriamali (crips,tambi)

1.SHULENI (hasa za msingi) Kama ilivyo katika biashara ya Crips, Shule za Misingi pia ni Soko la Tambi za Dengu. Hapa katika Shule za Misingi pia kuna upenyo wa kufanya Biashara hii kwa kuuza Mwenyewe au kuwapa Vijana wakuuzie au kuwaomba wale wanaouza Vipipi wakuuzie kwa Kutengeneza Mgawanyo wa Pato la Kila bidhaa moja. Mfano Bidhaa ya Sh 200, Wewe mpe mtu uyo auze kisha mwambie achukue sh 40 na wewe utapata 160. Mara zote nasema Chukua kidogokidogo kwa Wengi, Nikimaanisha Kama utapeleka bidhaa zako katika shule 10 na kupata Faida ya Sh 50 kwenye Kila bidhaa moja na wewe umepeleka bidhaa 100 kila shule. Maana yake utakuwa umetengeneza Faida ya 5000 Mara shule 10 utakuwa na 50,000 kwa Siku hii. Tambi za Dengu zinalika Pia shule za Misingi. 2.MADUKA YA MTAANI Maduka ya Mitaani ni sehemu ya Soko la Tambi za Dengu. Je Mtaani kwako kuna Maduka Mangapi, Je Maduka yaliochangamka ni mangapi? Je Maduka gani yanamuingiliano wa Watu sana. Jambo la Msingi hapa Ni kuangalia Maduka Yaliyocha...